Saturday, 1 June 2013

HUYU NI MTOTO WA P FUNK MAJANI ALIYEZAA NA KAJALA.

Anaitwa Paula mtoto wa mama mwenye talent na baba mwenye talent, so vipi kuhusu mtoto?. Ofcoz hawezi kukosa kuwa na kipaji na yeye pia. Baba yake ni famous producer P Funk na mama yake ni one of the best actress hapa bongo..swali la kizushi ni kwamba atafuata music kwa baba au movie kwa mama.?1.. 1 Screenshot_2013-6-1 0.41.53 23Screenshot_2013-6-1 0.33.49

No comments:

Post a Comment