Rais wa U.S. Barack Obama na first lady Michelle Obama wakipanda ndege yao ya Air Force One jana jijini Dar es Salaam tayari kwa safari!!
Rais Barack na Michelle Obama wakiwapungia mikono wenyeji wao Kikwete
na mkewe siku ya jana Airforce One kabla aijapaa kuelekea Marekani.
Kwaher
Africa!!! Barack Obama na first lady Michelle Obama wakipunga mikono
wote wawili kuwaaga na kuelekea Marekani siku ya jana.
Rais
Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick na Balozi wa
Marekani nchini, Alfonso (kulia) wakiipungia ndege iliyokuwa inapaa.Rais
Barack Obama na mkewe Michelle wakiwaaga watanzania siku ya jana kwenye Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, alipokuwa
akiondoka kurudi kwao Marekani baada ya ziara ya siku mbili nchini.
Air Force One ikichukua sura mpya ya kupaa na kuacha ardhi ya Tanzanian.
No comments:
Post a Comment