“Tumekubaliana
kwamba tumelazimika kuzika Morogoro kwasababu huyu kaka yetu ambaye ni
baba wa marehemu tumemzika pale Morogoro na familia yote ya marehemu ipo
pale Morogoro. Lakini hapa Dar es Salaam tutafanya mapokezi na msiba
utakuwa hapo kwa kaka yangu ni sehemu za Mbezi hapo, kwahiyo tutakuwa
kwa kaka yangu anaitwa David Mangwea,”amesema.
Ameongeza kuwa taarifa hizo za msiba nao walizipata jana jioni lakini bado hawajawa na uhakika ni vipi mwili wa marehemu utaletwa nchini kutokea Afrika Kusini.
“Kitu tunachokifanya na tumewaagiza tu hao vijana wetu waliopo hapo Dar es Salaam wajaribu kuwasiliana na ubalozi wa Afrika Kusini kuona namna gani ambavyo tunaweza kupata more information na kiasi kwamba tukaweza kujua namna gani msiba utakuja hapa.”
Mpaka sasa bado haijajulikana mwili wa marehemu Mangwea utakuja lini.

No comments:
Post a Comment