Friday, 28 June 2013

HISPANIA imeitoa Italia katika Kombe la Mabara kwa ushindi wa matuta wa 7-6 mjini Fortaleza.

HISPANIA imeitoa Italia katika Kombe la Mabara kwa ushindi wa matuta wa 7-6 mjini Fortaleza, kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 120 katika mchezo wa Nusu Fainali usiku huu.
 
Wataliano walifungwa na Waspanyola katika Fainali ya Euro mwaka jana wameshindwa kulipa kisasi na sasa Fainali ya michuano hiyo mwaka huu Jumapili Uwanja wa Maracana, itawakutanisha wenyeji La Roja na Brazil wenyeji.
Leonardo Bonucci wa Italia alikosa moja ya penalti 14 na Jesus Navas akaweka nyavuni mkwaju wa mwisho na kuipeleka Hispania Fainali.
Dramatic: Spain triumphed 7-6 in a dramatic shootout to set up a dream final against Brazil
Ushindi wa mbinde: Hispania wakishangilia 7-6 na sasa watamenyana na Brazil
Heartbreak: Italy were left devastated after pushing the world and European champions the distance
Maumivu: Italia wameng'oka

Si zaidi ya mwaka uliopita, Italia walipigwa 4-0 mjini Kiev, lakini The Azzurri waliwasili Fortaleza wakiamini kisasi kinawezekana, ingawa haikuwa hivyo.
Mikwaju ya penalti;  Jesus Navas alifunga a ushindi na kufanya 7-6 , baada ya Leonardo Bonucci mkwaju wake kuota mbawa.
Wengine wote waliotangulia walifunga; upande wa Hispania ni Sergio Busquets,  Juan Manuel Mata,  Sergio Ramos, Gerard Pique, Andries Iniesta na Hernandez Xavi.Italia ni Riccardo Montolivo, Andrea Pirlo, Sebastian Giovinco, Daniele De Rossi, Alberto Aquilani na Antonio Candreva.
Kikosi cha Hispania kilikuwa: Casillas, Arbeloa, Sergio Ramos, Pique, Jordi Alba, Xavi, Busquets, Iniesta, Pedro/Mata dk79, Torres/Javi Martinez dk94 na Silva/Jesus Navas dk52.
Italia: Buffon, Maggio, Bonucci, Barzagli/Montolivo dk45,Chiellini, Candreva, De Rossi, Pirlo, Marchisio/Aquilani dk79, Giaccherini na Gilardino/Giovinco dk91.
Off target: Italy blinked first in the shout-out when Leonardo Bonucci fired over at 6-6
Anakosaaa: Leonardo Bonucci mkwaju wake uliota mbawa
Decisive: Jesus Navas stepped up to score the winning penalty and send Spain to the final
Ya ushindi: Jesus Navas alifunga ya mwisho, chini anashangilia
Jesus Navas
Jesus Navas
Glamour: Worldwide superstar Shakira was in the stands in Fortaleza
Shakira alikuwapo jukwaani Fortaleza 
This one is for you: Pique celebrates Spain's victory by the tightest of margins
Hii ni kwa ajili yako: Pique akishangilia ushindi wa Hispania
Support: Shakira was watching her partner Pique in action for Spain 
Shakira jukwaani
Greetings: Shakira meets FIFA president Sepp Blatter in the VIP lounge
Shakira alikutana na Rais wa FIFA, Sepp Blatter katika eneo la VIP uwanjani
Support: Shakira was watching her partner Pique in action for Spain
Shakira akimuangalia mpenzi wake Pique akiichezea HispaniaOn the box: A spectator enjoys the party atmosphere in Fortaleza
Shabiki
Evens: The teams were locked at 0-0 after 120 minutes in the all European semi-final
Dakika 120 ziliisha 0-0 
Outnumbered: Italy's Giorgio Chiellini tries to win a header against Sergio Ramos and Gerard Pique
Giorgio Chiellini wa Italia akijaribu kupiga kichwa katikati ya Sergio Ramos na Gerard Pique
Effort: Fernando Torres attempts a shot on goal as Gianluigi Buffon watches
Jitihada: Fernando Torres alifumua shuti lililopanguliwa Gianluigi Buffon
Stretch: Christian Maggio gets his head to the ball in front of Spanish goalkeeper Iker Casillas
Anateleza: Christian Maggio alikaribia kumtungua kipa wa Hispania, Iker Casillas
On the ball: Manchester City's David Silva attempts one of his elusive runs
David Silva akipasua
Held his nerve: midfielder Andres Iniesta slotted his penalty past Buffon in the Italian goal
Andres Iniesta alimtungua Buffon kwa penalti

No comments:

Post a Comment