Rais wa 43 akiongea na Rais wa 44 siku ya Tanzania..Rais Obama pamoja na Bush walikutana jana Asubuhi katika Ubalozi wa Marekani uliopo jijini Dar es Salaam na kufanya tendo la kutoa heshima zao kwa Walipoteza Maisha pamoja na wale wote walioathirika katika shambulio la Ugaidi katika Ubalozi wao hapa nchini mwaka 1998.
Maraisi hao wawili wa dunia wakiwa pamoja nchini Tanzania kuhakikisha mambo yao yanaenda kama ilivyopangwa.
Kweli Tanzania tuna bahati ya kutembelewa na Wageni hawa!!!..Rais Obama na Bush wakisalimia watu waliopona na shambulio hilo la mwaka 1998 kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania
Devastation: Twelve people were killed and 85 were wounded when suicide bombers in trucks laden with explosives blew themselves up outside the US embassy in Tanzanian city of Dar es Salaam. A simultaneous attack on the embassy in Kenyan capital Nairobi killed 212
No comments:
Post a Comment