Staa maarufu wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel jana aliandaa futari
na kuwakaribisha ndugu jamaa na marafiki nyumbani kwake Mwanyamala
Garage ambapo wasanii wenzake kama Jacob Steven ‘Jb’ Steve Mengele na
Hartman Mbilinyi walijumuika katika mualiko huo.
PICHA: IMELDA MTEMA
PICHA: IMELDA MTEMA
No comments:
Post a Comment