Wednesday, 29 May 2013

Jackwolper Aamua Kutoa Sababu Kwa nini Kuanzia Mwaka Huu Anataka Aitwe "WOLPER GAMBE"


Wolper Gambe mwigizaji wa filamu
MWIGIZAJI nyota katika tasnia ya filamu Jaqueline Wolper amedai kuwa amefungua mwaka kwa kubadilisha jina toka la awali hadi kujiita Wolper Gambe jina ambalo anataka liwe alama yake kwa kila kitu atakachofanya atakitambulisha kwa jina hilo, pengine watu wengi walifikiria uenda jina lake jipya linaendana na tabia ya kutumia pombe kwa kiwango kikubwa, lakini mwenyewe alikana.

Wolper Gambe aka Jack akiwa katika pozi.

No comments:

Post a Comment