| DJ Rommy Jones akiwasili kwenye uwanja mkuu wa Taifa Dar es Salaam |
| Nikipokelewa na Mwakilishi wa Global Publishers wahusika na waandaji wa Tamasha ili.. |
| V.I.P nikiwa na mazungumzo machache na Mkurugenzi mtendaji wa Global Publishers Erick Shigongo... |
| MY CREW,MY ACCESS WITH WASAFI STAGE MANAGER QBOY MSAFII... |
| Nikichonga jambo na ndugu yangu nikisubiria kufanya yale yaliyotuleta... |
| Mwana F.A akishow Love na Msanii toka Kenya Prezzo akiwa anaelekea jukwanii... |
| Prezzo akipunga kofia kwa hewa kuwasalimu watanzania waliofurika uwanjani hapo... |
| Prezzo akifanya yake uwanjani...!! |
| Prezzo akiwa amevalia tshirt yenye bendera mbili,Kenya & Tanzania hii akimanisha ana damu mbili.... Kama ujui ngoja nikujuze.......Mama mzazi wa Prezzo ni Mtanzania kabisa toka mwanza... |
| Mose Iyobo & Dumi Utamu... |
| On set wasafi wakijianda kwenda jukwanii.... |
| Afe kipa.....Afe beki lakini ushindi lazima.... |
| Ajajajaja hatari sana Roboti kwa hewa.... |
| Mzee mzima mwenyewe nikawasili sasa kuna ule msemo usemao nyumbani ni nyumbani... Twende sasa ni kikwetu kwetu tu |
| Shuguli ikamia chini sasa.... |
| Nikuakikisha kila mmoja anaweza niona ni mpera mpera tu... |
| Hapo je......??? Tuimbe wote sasa.. |
| Noma kweli......viuno mbele mbele...!! |
| Shuguli ikarudi jukwani sasa kila mtu aone kile wasafi nini tunafanya....ni kujipanga tu kila idara thanks kwa Twins Fashion kuhakikisha tunang'a tukiwa stejini... |
| Ni huku na kule patashika ya wasafi... |
| Yanii....mizuka imepanda mule mule yanii.... |
| In Nay wa Mitego voice ''anha nyie watoto mchele mchele...kwenye show viuno mbele mbele...'' |
| Nimemaliiiizaaaaaaa...!! |
| Interview baada ya show..... |
| Choka sana mtu wangu...asikwambie mtu ile shugulli pale yataka mazoezi na mapenzi toka moyoni bila kujali mazingira kuhakikisha unakizi mahitaji ya mashabiki zako |
| Wasafi dancers & I n My Blood cuzin Rommy Jones. |
| Hapo sasa kujitia kujua ngumi mwisho wa siku nkapelekewa jebu na Dancer wangu....usiguse moto huu kabisa.... |
| Hapana chezea...sio muziki tu hata kwenye masumbwi nimo.... |
No comments:
Post a Comment