Muigizaji mkongwe wa tansia ya filamu hapa Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ siku ya jana amefunga ndoa kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph lilipo Posta jijini Dar na mume wake Alex Humbila .
Kabla ya kutinga kanisa kamera yetu ilimnasa Natasha katika suluni moja maarufu kwa kupamba mastaa mbalimbali hapa Bongo , Partners Wedding iliyopo Sinza Mori akiwa anaandaliwa kwaajili ya kwenda kanisani. Kufunga ndoa
PICHA: IMELDA MTEMA GPL
No comments:
Post a Comment