Afisa
wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini (katikati) na Meneja ukuzaji
wa biashara ya huduma ya M PESA wa Vodacom Tanzania, Moses Krom,
wakimshuhudia Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw. Matina Nkurlu
(kushoto) akizungusha gurudumu lenye majina ya washiriki wa Promosheni
ya lipa kwa M pesa na Ushinde ukiwa Sabasaba na kujishindia zawadi ya
shilingi Elfu 40 sanjari na muda wa maongezi wa shilingi 1000 kila siku
ambapo washindi watano walipatikana. Promosheni hiyo inaendeshwa na
Vodacom Tanzania wakati wa maonesho ya 37 ya kimataifa ya Sabasaba.
Afisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini (katikati) na Meneja
Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw. Matina Nkurlu (kushoto) wakiweka
karatasi zenye majina ya washiriki wa Promosheni ya lipa kwa M pesa na
Ushinde ukiwa Sabasaba na kujishindia zawadi ya shilingi Elfu 40 sanjari
na muda wa maongezi wa shilingi 1000 kila siku ambapo washindi watano
walipatikana, Promosheni hiyo inaendeshwa na Vodacom Tanzania wakati wa
maonesho ya 37 ya kimataifa ya Sabasaba, anaeshuhudia kulia ni Meneja
ukuzaji wa biashara ya huduma ya M PESA wa Vodacom Tanzania, Moses Krom.
No comments:
Post a Comment