Tukio hili limetokea huko Nigeria
ambapo binti anayesemekana ni wa mwaka wa kwanza alikwenda kutembea
katika hostel za wenzake na alipopata mwanya akaiba simu aina ya Black
Berry.
Hata hivyo baada ya mwenye simu kushtuka binti huyo aligoma kuichukua simu hiyo na
ndipo watu
walipoamua kuipiga simu na kuanza
kuita ikiwa sehemu za siri. Baada ya tukio hilo wavulana kutoka vyumba
vya pembeni walikuja na kumsachi huku wakimvua nguo, hakuwa na la ziada
zaidi ya kuwa mpole wakati watu wakimpiga
No comments:
Post a Comment